Kijana huyu anatafutwa.

Micheweni Pemba

JF-Expert Member
Jul 13, 2010
351
179
Kwa jina anaitwa Ally Mohammed.
Ni mwandishi habari kutoka Zanzibar.
nina mpango wa kuanzisha gazeti litakalotoka kila siku.
Ningefurahi nkimuajiri huyo kijana.
Aliwahi kufukuzwa kazi Redioni sababu ya uwekaji huru Demokrasia.

kuna mtu yoyote mwenye details za huyu kijana.
ally mohamed.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom