Ombi kwa madalali wa ardhi

mikononyuma

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
641
594
Ndugu zangu nina imani kubwa mmebobea katika kazi yenu ya kunadi ardhi. Mnapotoa tangazo la kunadi ardhi mara nyingi mnasema kiwanja, ebu muainishe ardhi ipo kwenye Kundi gani, kwani kwa uelewa wangu mdogo naona kiwanja cha makazi,shamba n.k ni vitu tofauti. Na je ardhi iyo imerasimishwa na mamlaka husika
 
Back
Top Bottom