Habari: Natafuta mwalimu wa Kiswahili kwa ajili ya kazi ya muda lakini inaweza kumlipa kwa maisha yake yote. Sifa Awe na Shahada ya Kwanza ama kuendelea. Awe anafahamu English kwa ufasaha. Ikiwa anafahamu Kifaransa na lugha nyingine za kimataifa itakuwa ni faida zaidi. Awe ni mzaliwa na amekulia mikoa ya Pwani. Kama unafahamu una sifa hizi tafadhali nitumie ujumbe katika inbox.