Mavindozii JF-Expert Member Oct 20, 2012 2,111 2,779 Jun 22, 2016 #1 Wakuu wa nchi natafuta mtu mwenye machine ya kukamua asali mbichi .Nina Ndoo moja tu na niko Arusha .Msaada please
Wakuu wa nchi natafuta mtu mwenye machine ya kukamua asali mbichi .Nina Ndoo moja tu na niko Arusha .Msaada please
Job Richard JF-Expert Member Feb 8, 2013 3,876 2,187 Jun 22, 2016 #2 unataka kununua au ukakamue huko kwake
Mavindozii JF-Expert Member Oct 20, 2012 2,111 2,779 Jun 22, 2016 Thread starter #3 Nilikuwa nahitaji tu kwa ajili ya kukamulia Asali hiyo ndoo moja tu boss .Msaada please