Natafuta chumba cha 25,000/= chenye umeme Dar

elimuplatform

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,054
462
Habarini,

Kama unakijua popote kilipo Dar kiwe na umeme, kodi iwe miezi sita au mitatu,naomba uniPM.

Asanteni.
 
HIYO ELFU 25 NI PAMOJA NA VAT AU BADO HUJAWEKA VAT?.....PIA USISAHAU DAR NI KIFUPI CHA DAREDA....VYUMBA VIPO NA KARIBU SANA ILA KODI LAZIMA IWE YA MWAKA. NITAKUPA NAMBA YA DALALI KRISTINA WA DAR.... DAREDA.
 
Ntashukuru mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom