Viwanja kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne za kimaendeleo vinapatkana Kwa ukubwa wa 20/20
Kuna nafas ya kulipia kwa installment,unalipia 65% then Hyo 35% unamalizia ndan ya wik 6
0656 698232
Hivi viwanja vya Chanika vinanivutia vipi hamna utapeli huko.
Think about double access plotHamna utapel wowote
Miguu 20 X 20 Chanika Mjini(Vodete)
Karibu na Barabara.
1.7Km toka Pale Chanika Stand
0.6km toka Barabara ya Lami.
Bei: 5.5M
Umeme Maji Papo hapo.
Pamejengeka Sana.
0715-240140
View attachment 358839
Njoo nkuuzie namba 29 & 30
Unajenga na kuhamia. Maji umeme hapo hapo
Think about double access plot
Yaani namba 29 na 30 vina barabara pande zote mbili, piaFafanua Jerhy. Umeniacha.
Naomba Tafusiri "Double Acces"
Yaani namba 29 na 30 vina barabara pande zote mbili,
Kutoka stand kuja uko muda gani
Km1.6 unatembea kwa Mda gani!? Mwendo wa Gari kwa speed ya 60km/ph ni 3Min. Kwa kutembea Yaweza kuwa 10 to 12min.
haya biashara njema mkuuMkuu dharura znajulkana so iskupe shida sabb wng tunategemea majaliwa ya Mungu