Wanted: Eneo lenye ukubwa wa 5 acres au zaidi Kibaha

Conroy

Senior Member
May 23, 2014
158
44
Eneo lenye ukubwa usiopungua 5acres na umbali usiozidi km1 kutoka morogoro road lililopo kuanzia mailimoja kuja dareesalaam linahitajika.
Contact: +255689315582
Note: Lisilopungua 5acres kuanzia mailimoja kurudi dar es salaam
 
Ikiwa unalo au unafahamu Linapopatikana nifahamishe kwa mawasiliano niliyoweka. Asante
 
Umeme upo, ufugaji hamna maana ni mashamba ya mazao. Maji yapo kwa wingi na watu wanachimba visima
 
Eneo lenye ukubwa usiopungua 5acres na umbali usiozidi km1 kutoka morogoro road lililopo kuanzia mailimoja kuja dareesalaam linahitajika.
Contact: +255689315582
Note: Lisilopungua 5acres kuanzia mailimoja kurudi dar es salaam
0716109107 nitafute
 
Vigezo na masharti kuzingatiwa eneo liwe kuanzia mailimoja kurudi dar, lenye ukubwa usiopungua eka 5 au zaidi, liwe umbali wa chini ya 1km Kutoka morogoro road. (Mnunuzi anataka kujenga factory) ukiwa nalo lenye vigezo hivyo nicheki kwa mawasiliano 0689315582... Nafikiri imeeleweka.
 
Back
Top Bottom