Smartbrain
Senior Member
- Mar 23, 2013
- 184
- 34
Nahitaji kutengenezewa plastic packing bags zaidi ya 500 , Naomba kama kuna mtu au kampuni inaweza kufanya hii kazi kwa bei nzuri tupeane mawasiliano au nicheki whatsapp 0759696989, Nimeambatanisha sample ya mifuko ninayo hitaji.