Plot4Sale Kiwanja chenye nyumba kinauzwa Madale Dsm

Nyete

Member
Apr 20, 2016
58
61
Kiwanja Hiki Kipo Eneo La Wazo-hill Katika Wilaya Ya K'nondoni Mkoa Wa Dar Es Salaam, Kiwanja Ni Tambalale Na Kina Nyaraka Zote Za Umiliki Pia Tayari Kina Nyumba Ya Kuishi Ya Vyumba 3 Na Sebure, Kipo Karibu Na Barabara Ya Kwenda Madale Kwa Diamond/Kawawa Umeme Umefika.

Ukubwa Wa Eneo Ni Acre 1. Bei Ni Mil 200 Mazungumzo Yapo,

Kwa Mwenye Uhitaji 0765544791/0655544791

Karibuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom