Tunkamanini
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 377
- 93
Nauza simu yangu aina ya Samsung S4 Active bei Tshs 200K, inafanya kazi vizuri ila iko na cracks kwenye screen, naiuza sababu ninashida ya haraka na kiasi hicho cha fedha, mwenye uhitaji aniPM tafadhali.