Lodge mpya inauzwa bei nafuu ipo mbagala kizinga

Rajabu Msechu

Member
Apr 13, 2016
35
18
Habari zenu ndugu zangu wa jukwaa hili mahsusi natumaini hamjambo na wazima wa afya.
Lodge mpya na ya kisasa inauzwa, ipo Mbagala Kizinga, haipo mbali na Barabara.
Bado haijawekwa umeme wala kuvutiwa maji, vitu vya samani vya ndani vipo tayari, inahitaji finishing.

Ina jumla ya vyumba 12, kumi vya kulala ikiwemo store na mapokezi, huduma za maji na umeme vipo.
Eneo husika linafaa kwa biashara tajwa.
Nimeambatanisha na picha baadhi kama zinavyoonekana.

Kwa mawasiliano zaidi : 0658 45 45 99

e33461637bb8e5f2330a0824d4946cfc.jpg

8e6e065643da53c65ad478a3df5ade9e.jpg

a51ee873e27519313739b31c6bd842f5.jpg

6ad25c934847854af169a1c09e7439a2.jpg

8270772a49deeeda6c9ce95d8d1559c9.jpg
 
Magufuli amebana kote kote sasa mpaka Lodge mnauza. Na jamaa hata mwaka hajamaliza ofisini. Kazi ipooo!
 
1. Kilomita ngapi toka barabarani?
2. Je kuna parking ya magari?
3. Haiko uswahili sana,
4. Je, inafikika kwa urahisi, yaani njia ya kufika hapo
5. Je, kiwanja kina hati au ni barua ya mauziano ya mwenyekiti wa mtaa.

Ngoja kwanza tuanzie hapo mkuu.
 
Biashara za Bongo bwana. Yaani mtu hata kuweka tangazo la kueleweka napo mpaka mbembeleze. Kazi kweli kweli!
 
Habari zenu ndugu zangu wa jukwaa hili mahsusi natumaini hamjambo na wazima wa afya.
Lodge mpya na ya kisasa inauzwa, ipo Mbagala Kizinga, haipo mbali na Barabara.
Bado haijawekwa umeme wala kuvutiwa maji, vitu vya samani vya ndani vipo tayari, inahitaji finishing.

Ina jumla ya vyumba 12, kumi vya kulala ikiwemo store na mapokezi, huduma za maji na umeme vipo.
Eneo husika linafaa kwa biashara tajwa.
Nimeambatanisha na picha baadhi kama zinavyoonekana.

Kwa mawasiliano zaidi : 0658 45 45 99

e33461637bb8e5f2330a0824d4946cfc.jpg

8e6e065643da53c65ad478a3df5ade9e.jpg

a51ee873e27519313739b31c6bd842f5.jpg

6ad25c934847854af169a1c09e7439a2.jpg

8270772a49deeeda6c9ce95d8d1559c9.jpg
Mkuu usiweke bei akitokea mtu anahitaji aku pm tu ukiweka bei hapa kuna watu hata sio wanunuzi humu kazi yao kuponda na kuongea maneno ya kashfa tu utasikia mala lukuvi sijui kafanya nini mala sijui mafunguo atakuja hapo yani alimradi tu kuharibu biashara za watu afu ukizingatia hela zenyewe hawana ila wana kelele balaa ukiwachunguza account zao hata million 5 hawana
 
Hahahaaaaaaaaaa

Back
Top Bottom