Panasonic HDC-HS300. 3mos
1920 fullHD.
Inatumea HDD (120GB) ipo katika hali nzuri kabisa na inafanya kazi kama unavyoona katika pictures ipo na external mic, bag,2 batteries na original box .
ipo...
Wakuu habari za majukumu.
Bila ya kuchelewa wala nini,naomba tujikite kwenye mada hapo juu.
Harrier yenye specs zifuatazo inahitajika
1: colour "black or silver"
2: transimission "auto"
3: cc...
Wakuu nna Toyota RAV 4 ya mwaka 1998 nataka nibadilishane na mtu mwenye Toyota IST ya mwaka (2000-2003), kwa mwenye uhitaji huo tafadhali. Aidha kulingana na utofauti wa bei ntahitaji kuongezewa...
Habari Ndugu zangu, nahitaji friji size ndogo kabisaa zile zenye watts 90.. Kama unajua wapi naweza zipata mpya kabisa msisite kuniambia na bei zake. Asanteni.
Habari wakuu.
Nafundisha accounting Packages mbalimbali kwa watumiaji na supporters. Hii ni pamoja na Sage evolution, Pastel Partner, premier payroll, Tally na Sage HR.
Elfu themanini kwa kila...
Hello!
1200 Sqm stand for sale in Mbweni JKT Block 6. Build the home of your dreams and this huge stand in a lovely Mbweni JKT neighborhood just 1km to Mbweni beach. It is a bargain not to be...
kama habari hapo juu,pm bei na picha,kuanzia 25 june.security maji muhimu kiwe furnished na kila kitu.muda kukaa ni siku 25-30.
tiririkeni bei kwa pm na no.
Kuku Chotara majogoo na majike yanauzwa kwa sh. 15,000/= tu kila mmoja. Pia Mayai ya Kuku Chotara yanauzwa kwa sh. 12,000/= kwa trei. Mwenye kuhitaji ani PM
Habari wana JF,
Kiwanja kinauzwa, kipo njia ya kwenda Iringa maeneo ya CHIDACHI(Chidachi South).
Ni kiwanja cha pili kutoa barabara kuu ya Dodoma-Iringa. Ni Kizuri kwa makazi na biashara...
We supply, install & maintain all types of room A/C and fridge on request and contract basis at affordable price.
Get service at your doorstep, contact us now:
0683 325564
DSM- tabata.
Also...
Fursa Onecoin Crypto Currency, Inayokuja badala ya Bitcoin...
OnECOIN CRYPTO CURRENCY
[/IMG]
Karibu katika uwekezaji wa wa kidjitali.
Nunua hisa (coin) uweze kufaidika kulingana na upandaji...