Huyu atakuwa Dalali! huwa hawajiamini na wanafanya biashara kijanjajanja tuWeka bei basi kah? Hivi mtabadilika lini? Jifunzeni kufanya biashara kama hujui musilete Uzi humu! Tena kama vip mods pigeni ban maana hakuna cha maana kama hajaandika bei ni sawa na PICHA.
Samahanini wadau kwa kutokuweka bei ni M 15Condition: Good
Model : 2001
Cc: 1998
Full mziki with sports rims
Haina tatizo lolote View attachment 354589View attachment 354590View attachment 354591
plate number??Samahanini wadau kwa kutokuweka bei ni M 15