TBO
Senior Member
- Jan 3, 2014
- 194
- 87
Habarini ndugu wana JF ,viwanja viwili vinauzwa vipo maeneo tofauti kimoja kipo mbezi lois na kingine kipo kifuru vyote vipo katika eneo ambalo gari linafika bila shida yeyote na ni tambalale (taratibu zote za kisheria zitafwatwa katika kukabiziana kiwanja)ni PM kama upo interested