Huduma za Bima kwa wateja namali zao

ngosh

Member
Dec 18, 2014
48
40
Napenda kuwafahamisha kwamba sasa hivi mimi ni Wakala wa Bima. Ninatoa huduma za Bima kwa wateja na mali zao. Huduma ninazozitoa ni kwaajili ya kinga ya majanga yafuatayo;
Ajali za Magari, wizi,moto,safari, fedha , udanganyifu wa wafanyakazi , viwanda, vifaa vya umeme,mashine mbali mbali, usafirishaji wa mizigo, meli na shehena, Miradi , Biashara na usumbufu,
Kwa taarifa zaidi tembelea ofisi yangu katika jengo la NHC Mtaa wa Samora , Au piga simu namba 0784394701

CHARLES NAZI

WAKALA WA BIMA
 
Back
Top Bottom