Olsea
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 462
- 263
Nauza Huawei P7 dual SIM cards(Microsim and Nanosim) SIM 1 ina support had 4G
,Ram 2gb,internal 16gb,real camera 13MP,front camera 8MP,White color..nimeitumia kwa muda mfupi na bado ipo na box lake,headphone zake,chaja yake na Kava lake..bei shilling 300k.