Tunauza Viwanja kigamboni vya kupimwa mpaka milion 5 unapata

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
765
490
Kuna viwanja maeneo ya kigamboni geza ulole yale yale puna block A vyenye ukubwa tofautitofauti ambavyo kwa kila square meter inauzwa kwa tsh 15,000/= ambavyo vimepimwa na kuwa na uhalali wa hati miliki.

Mwandishi wa hii thread ndio mmiliki wa viawanja hivyo kama ukihitaji kwa aliekua serious awasiliane kwa namba 0712212220 either atume message anipigie au whatsapp vyote unaweza kunipata mimi napatikana magomeni.
 
msonganoma nashkuru umenisaidia ukubwa wa viwanja vipo tofauti tofauti kuanzia square meter 300 mpaka 2000 zipo na vipo viwanja kwa matumizi mbali mbali kwa mfano viwanja kwa ajili ya kujenga mahotel viwanja kwa ajili kwa ajili ya super market na maeneo ya kuishi watu
 
Mkuu unachnganya sana. Unaposema gezaulole yaleyale puna una maanisha nini? Maana gezaulole na yale yale (puna) ni sehem mbili tofauti zilizo mbali kabisa
 
Viwanja hivyo bado vinapatikana ? nahitaji chenye ukubwa wa 1000 sqm
 
Back
Top Bottom