mkandumbwe
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 424
- 371
Habari wanajamvi!
Nimekuwa nikitumia simu ya mkononi ya TTCL kwa miaka kadhaa sasa. Simu hii ya mkononi inatumia teknolojia ya CDMA hivyo kuifanya ya kipekee na kutokubaliana mwingiluani na simu nyingi hapa nchini zinazotumia GSM. Nimepoteza simu yangu ya mkononi na nikafanikiwaku swap line lakini nimeshindwa kupata simu nyingine kwan maduka yote ya TTCL hawauzi tena simu za teknolojia ya CDMA kwani nao wako mbioni kwenda GSM. Kwa kipindi ambacho wao wapo ktk kuhamisha teknolojia hiyo mm bado nahitaji kuwa hewani.
Njia pekee ya kupata simu ni kununua simu kwa mtu ambaye haitumii kwa sasa.
KAMA UNA SIMU YA MKONONI YA TTCL (CDMA) Tafadhali nijuze ninahitaji kuinunua.
Natanguliza shukrani.
Call. 0684929294