NINAHITAJI MPISHI WA CHAPATI.

Jan 10, 2016
78
62
Habari wana Jf, kama nilivyoainisha kwenye kichwa cha habari hapo juu. Ninahitaji mpishi anayejua kupika chapati nzuri laini na zinazochambuka. Mwenye huo ujuzi anaweza kuwasiliana na mimi kwa simu Namba 0767 39 64 54. Mimi ninaishi hapa Dar es salaam.
 
Back
Top Bottom