Kuku wa kienyeji niwapateje?

mkubhi

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
2,207
3,311
Jamani nahitaji kufuga Kuku wa kienyeji ila sijue pakuwapata ... Nacho omba kwenu mnisaidie jinsi gani naweza kuwapata.... Nipo Kigoma ...namba yangu ya simu 0746269580
 
Mkubwa kigoma mbali sana ungekuja karibu mimi niko Tanga mjini ningekupatia vifaranga.
1: nauza vifaranga vya kuku wa kienyeji
2: Kenbro
3: Kuroila na
4: Kuchi
Kuroila, kenbro na kienyeji bei ni 2,000 kifaranga cha siku moja Bila usafiri. Usafiri unajitegemea mwenyewe.
Number za mawasiliano
0762355114
 
Jamani nipo Kgm ila nahitaji kweli kuwapata Kuku jamani!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom