KisimaPay Si mradi wa kukosa

KisimaPay Si mradi wa kukosa

Singidan

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
878
Reaction score
945
WanaJf.
NImeona c vbya kushare naye fursa hii ambyo nimeiita KISIMAPAY.
KisimaPay ni mradi wa kumiliki visima, hii fursa ipo eneo flani Kilosa na Gairo- Morogoro. Max 10millions as capital. Mradi ukiwa tayari, fanya kisima 1 kwa kaya 250, dumu 3 za lita 20= utauza kwa 200/=, 200/= mara 250 per day = 50000. Mara mwaka sawa 16550000+. Mahesabu hayo ni kwa minimum. NB: Ili kiwe modern lazima kitumie solar energy au ectricity power ya generator au umeme wa Tanesco.
 
WanaJf.
NImeona c vbya kushare naye fursa hii ambyo nimeiita KISIMAPAY.
KisimaPay ni mradi wa kumiliki visima, hii fursa ipo eneo flani Kilosa na Gairo- Morogoro. Max 10millions as capital. Mradi ukiwa tayari, fanya kisima 1 kwa kaya 250, dumu 3 za lita 20= utauza kwa 200/=, 200/= mara 250 per day = 50000. Mara mwaka sawa 16550000+. Mahesabu hayo ni kwa minimum.
Umemaliza?
 
WanaJf.
NImeona c vbya kushare naye fursa hii ambyo nimeiita KISIMAPAY.
KisimaPay ni mradi wa kumiliki visima, hii fursa ipo eneo flani Kilosa na Gairo- Morogoro. Max 10millions as capital. Mradi ukiwa tayari, fanya kisima 1 kwa kaya 250, dumu 3 za lita 20= utauza kwa 200/=, 200/= mara 250 per day = 50000. Mara mwaka sawa 16550000+. Mahesabu hayo ni kwa minimum. NB: Ili kiwe modern lazima kitumie solar energy au ectricity power ya generator au umeme wa Tanesco.
Abdul, hizo hesabu zako za capital mil 10 inaweza kuwa ndogo. Kabla ya kuchimba kisima kuna survey ambayo ndiyo ita determine uchimbe kisima cha mita ngapi. Fahamu ya kuwa jinsi kina kinavyokuwa kirefu ndipo gharama zinaongezeka. Jambo lingine ni kwamba huo mradi lazima ulenge sehemu ambayo watu wanashida sana ya maji na hakuna chanzo chao kingine cha maji hivyo piga ua lazima anunue maji kwako tu.

Jambo lingine ni kwamba kama utaamua ku supply basi lazima utaingia gharama ya pump, ujenzi wa tank, mabomba ya kusambaza maji, mita, n.k. au kama utaamua kwamba watu waje wenyewe kufuata maji hata kama wengine wapo mbali na kisima kilipo sawa ni juu yako ila lazima umweke mlinzi ambaye ndiye muuzaji wa maji ambaye pia ni mwaminifu. Jambo lingine ni kwamba ardhi unayochimba kisima lazima upamiliki ww lasivyo kisima utakikosa.

Na jambo la mwisho kisima kinapochimbwa huwa haijulikani ubora na wingi wa maji yatakayopatikana. Hivyo je maji yakiwa ya chumvi au hayatofaa kwa matumizi ya binadamu utafanyaje? Maana baada ya kuchimbiwa kisima lazima kufanyiwa pumping test ili kujua wingi wa maji na kisha sample ya maji pia inapelekwa maabara kwa ajili ya kuangalia kama yanafaa kwa matumizi ya binadamu.
 
mkuu Smt016 nimekusoma, u talk right, ktk eneo hilo nimgundua changamoto ya maji ni kubwa, dumu la lita 20 linauzwa 300 hadi 500 tshs. Uchunguzi unaonyesha ukiwa na 10m unafanya hvyo ulivyosema tena modern ambacho ktatumia solar energy au ectricity power.
 
Wasisahau na ya uncle magu tuu maana naye atakuwa na kodi yake hapo ya Serikali yake.
Sawa tu mkuu, kulipa kodi ni jambo jema sana tutakuwa tunachangia maendeoleo ya nchi yetu. TRA wakitu mwogozo ni asilimia ngp wanatoza na kivp, nt cose tutalipa tuh.
 
mkuu Smt016 nimekusoma, u talk right, ktk eneo hilo nimgundua changamoto ya maji ni kubwa, dumu la lita 20 linauzwa 300 hadi 500 tshs. Uchunguzi unaonyesha ukiwa na 10m unafanya hvyo ulivyosema tena modern ambacho ktatumia solar energy au ectricity power.
Sehemu gani huko na umefanya utafiti kuhusu maji ya chumvi? au je ukipata maji ya chumvi unafanye? Je hakuna visima vya wazi na visima vinginevyo?
 
Back
Top Bottom