Nimetengeneza software rahisi kwa ajili ya kutunza mahesabu ya vikudi kama vicoba inakupa Summary (ufupisho) wa fedha taslimu kila mnapotoa.
inakupa jumla la kila mtu mwenye hisa mtaji au hisa kawaidia, jamii, na dharurua, mikopo na balance anayodaiwa ya riba na principal na inatoa Profit and loss account kila ukiweka number na mwisho kabisa inakupa balance sheet ( Mizani).
Mwenye mahitaji anakaribishwa nitatoa trainning ya masaa mawili to matatu na inategemea na watu ulionao nitafanya na set up kuhakisha kuwa umeelewa na inafanya kazi vizuri na yote hayo yako kwenye excel, bei ni maelewano na itategemea sana na wanachama ulionao na unaotemea kuwa nao ili nisikuumize.