dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Kwa Maelezo zaidi yahusuyo kila Gari Tafadhali tuwasiliane kwa 0756060183
Hiyo Suzuki T880 BTB bei 5ml
Mkuu Gari zote ziko vizr kabisa na zinafanya kazi hata sasa,Zinatatizo gan, au nzima kuchukua nakutumia
hahaha uko serious na maisha yako kwelHii T681CLB bei yake 7.2ml
Wala cjaelewa ata nn maana ya haya uyasemayo!! Fafanua zaidihahaha uko serious na maisha yako kwel
Njoo na fundi wako kwanza mengine tutaongeaHiyo BTB ukishuka mpaka 3m ninaweza kukutafuta nikiwa na fundi ili kujua ni gharama gani zaidi zinahitajika kwa matengezo.
Sorry mkuu simu iliisha chage nikaweka kidogo,nipigie tena pia unaweza kutumia na hii pia 0715060183Muuzaji unapigiwa simu haupokei! Biashara ipo kweli?!
hahahahahahahah, we jamaa bhana!!!Hiyo BTB ukishuka mpaka 3m ninaweza kukutafuta nikiwa na fundi ili kujua ni gharama gani zaidi zinahitajika kwa matengezo.
Mkuu hio inabidi auze bei gani kwani???swift namba B , huwezi kuuza million 5