Digital Camera aina ya 'Sanyo' inauzwa 150000/-

ntakisigae

Senior Member
Nov 26, 2013
177
58
Kamera hii inapiga picha na kuchukua video.Kamera imetumika kidogo miezi michache na haina tatizo lolote.Ina mega pixel 5,optical zoom3,digital zoom 4,na skrini ya nchi 2.4.
Unaweza kuiona katika picha.
Tuwasiliane kwa namba 0657011122,kama sipatikani nitumie ujumbe.
Ninapatikana Mkuranga mjini,Pwani.
KARIBUNI
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    170.3 KB · Views: 49
Back
Top Bottom