Tv hisence 42" inauzwa

sorry wakuu hiyo Tv ishauzwa ila ukihitaji Tv, Sumsung, Lg, Sony au Hisence inch yoyote unanicheki naagiza tu kutoka South Africa zinachikua wiki moja kufika hata Radio home theater system pia..ukitaka mpya au used bei zimetofautiana na guarantee unapata Malipo baada ya kufika mzigo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom