Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,034
- 1,003
Wakuu salaam mimi nipo Iringa mjini nahitaji mbegu ya kitunguu. Nahitaji kulima eka moja nipo Iringa naombeni msaada. Mbegu ninayo hitaji ni aina hizi Mang'ora red,Red creole au bombay red nitashukuru sana kama nikipata bei yake pia. Asanteni