Gari inahitajika- rav4 kilitime 3doors, au volts 4wd

Gari inahitajika- rav4 kilitime 3doors, au volts 4wd

mxyo16

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
1,243
Reaction score
760
Kama mada inavyojieleza, gari iwe kwenye hali nzuri, 4wd, mwaka 2000 kuja juu, haijapata major accident, mteja ana 12m, tuwasiliane kama ni muuzaji serious.

rav4
vim_5_6800067__vimg2324358-1.jpg


Toyota volts
1.jpg
 
Nina rav4 kili time milango 5 iligongwa nyuma lakini imenyoshwa kwa ustadi mkubwa bei 9.5 milion no Dalali. No B
 
Back
Top Bottom