Oxpower
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 2,180
- 3,112
Habari wana JF,
Kama heading inavyojieleza.
Leo nmejikuta nakumbuka wakati wa utoto wangu,nmekumbuka tulikua tunakwenda sunday school kila Jumapili na huko tulikua tunapata mafunzo tofauti na yale wanayopata wakubwa. Mwalimu wetu alikua anatusimulia hadithi na alikuwa anatupa vitabu vya kujisomea
Vile vitabu vilitukuza sana kiimani na kumjua Mungu na manabii pamoja na mitume wake. Kilichonifanya niandike thread hii ni kutaka kuulizia vile vitabu nikitaka navipataje hasa kupitia mtandaoni.
Anayefahamu tafadhali anijuze, natamani nivisome tena.