Bata Mzinga Wanauzwa

Bata Mzinga Wanauzwa

ndaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
347
Reaction score
49
Wadau bata mzinga wangu sasa wameanza kutaga na nimeanza kutotolesha.Kwasasa wamebaki vifaranga 11 wa wiki 3 nauza.Pia ntakua na vifaranga wa peking ducks kama mtu anapenda anaweza weka oda.Nipo Morogoro na shamba lipo bigwa.Naweza kuwaleta popote kwa Mteja.Ni PM kawa utapenda kuwanunua au nitext no 0659300000.
 
Weka picha

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wadau bata mzinga wangu sasa wameanza kutaga na nimeanza kutotolesha.Kwasasa wamebaki vifaranga 11 wa wiki 3 nauza.Pia ntakua na vifaranga wa peking ducks kama mtu anapenda anaweza weka oda.Nipo Morogoro na shamba lipo bigwa.Naweza kuwaleta popote kwa Mteja.Ni PM kawa utapenda kuwanunua au nitext no 0659300000.
Bad unao bata mzinga?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom