realpatriot
Senior Member
- May 28, 2009
- 116
- 76
Habari wadau,nahitaji Volkswagen beetle old model inayotembea,body structure iwe safi, iwe right hand drive haijalishi Brazil au Germany
Nawasilisha
Nawasilisha
Adim sana hizo mkuu...pale bunju mianzini iko moja ila haitembei.
Habari wadau,nahitaji Volkswagen beetle old model inayotembea,body structure iwe safi, iwe right hand drive haijalishi Brazil au Germany
Nawasilisha
Tulikuwa tunaiita mgongo chura au kombi kipindi hicho
ndio hiyo anaitaka
Daah Kuna jirani yetu mmoja hivi ni mangi, tangu 1995 mpk Leo namuonaga na hio staut.Aende Arusha au Moshi anaweza pata maana kule kuna Wazee wanatunza Gari balaa,juzi kati nimeona Toyota Staut ya miaka ile bado ipo safi inapiga kazi.
Daah Kuna jirani yetu mmoja hivi ni mangi, tangu 1995 mpk Leo namuonaga na hio staut.