Tunauza duka la rejareja, lina mtaji wa 5m

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,099
8,727
habari wanajamvi, mm na mke wangu tunauza duka letu lipo kinondoni, kwa mtogole karibu na kwa hali maua. lina mtaji wa 5m kwa maana ya kodi ambapo kodi yet inasha mwezi wakumi na ,oja, na ndani kuna mzigo wa 3.5 pia frem hiyo tumeitengeneza sisi wenyewe. so pia zile mbao za frem ni za yule atakae nunu, frem ni kubwa sana.

sababu za kuuza ni baada ya kupata uamisho wa kikazi kwangu mimi mwanaume kikazi

kama wewe unaitaji kufanya biashara tunakukaribisha sana frem ipo njiani kbsa biashara ipo, njooo ununue mzgo na kodi na chat zote uanze biashara fasta.

nipm fasta tuyajenge/
 
Haya mambo ya uamisho yanarudishaga sana nyuma maendeleo ya watu. Mtu ukikaa sehemu umeanza kujijenga unahamishwa, unaenda tena sehemu nyingine unaanza moja. Mpaka uje kusettle miaka miwili mitatu unaanza kufanya maendeleo unahamishwa tena. Mwisho wa siku mtu anastaafu hata kibanda cha kujihifadhi hajakamilisha...
 
nipo serious na ili jambo asante kwa walio taka no, nimewatumia na kwa wale mlio bakia mkikejeri endeleeni kukejeri wakati wakuu tunapiga ishu, regarding nguvu ya kununua kwa watu wa kwa mtogole ni kubwaa sanaaa ukifungua baishara ya vipodozi vya bei ya kawaida, kwa wale walio chnganya mada endeleeni kuchanganya, kwa ufupi duka lipo mbere ya kituo cha police Ali Maua, na mimi wakati nimepata uamisho nililifunga kwa m uda wa miez miwili nimekuja nimerikuta lipo self, so swezi kusema heti kuna vibaka! karibuni nyote wenye nia njema!
 
Back
Top Bottom