wakuu za humu ndani
mtanisamehe narudia kuomba maana sina jinsi na hii ndio njia yangu ya pekee kutoka kimaisha,nafikiri kwa ambae yuko au ameshapita kipindi hiki ananielewa
naomba mwenye uwezo anikopeshe milioni mbili, alafu mimi nitamrudishia baada ya mwaka mmoja kwa malipo ya installments!
Binafsi nitaweza kumlipa laki mbili kila mwezi kwa hiyo kufikia mwishoni mwa mwaka atakuwa na milioni mbili na nusu!
Dhamana ambayo naweza kuiweka ni vyeti vyangu vya olevel nikiwa na ufaulu wa division one na vya advance nikiwa na ufaulu wa division two,.Pia nitaweka rehani kwa chochote nitakachokuwa nakimiliki mpaka hapo mwishoni mwa mwaka! kwa sasa sina kitu cha gharama kubwa kama gari au kiwanja! nina vitu tu vya kawaida vya ndani kama freezer,meza, etc. hivi nategemea kuvitumia katika biashara nazotegemea kuanza kufanya .Nikishindwa kulipa atachukua vyote nitakavyokuwa namiliki pamoja na vyeti kufikia mwisho wa mwaka! Na pia tutaandikiana kisheri ikibidi
Nimeweka vyeti na chochote nikachokuwa nakimiliki kufikia mwishoni mwa mwaka kwa sababu ndo uwezo nilionao mimi kama mimi.
Nimezunguka katika mabenk na taasis za mikopo ila nakosa vigezo kwa sababu sina ardhi au nyumba au leseni ya biashara!
mwenye uwezo huo naomba anisaidie, mimi napatikana Dar es salaam.
naomba mwenye kunishauri akaribie ila kejeli naomba usiandike maana saa nyingine watu tunakuwa katika kipindi kigumu sana ambapo mtu wa pembeni huwezi amini/kuelewa hali halisi ilivyo!
atakayekuwa tiyari naomba aniPM tuongee zaidi!
Nashukuru.