Natafuta Ofisi ya kupanga iwe sam nujoma road, ali hassan mwinyi mwisho morocco, cocacola kwanza road nk, ukubwa ni 20-30 sqmts, inaweza kuwa hata room moja kubwa au yenye partition au nyumba...
Nimekua nikinunua vifaranga kwa supplier huyu huyu kila siku ila mpaka kuku wanakuja kuuzwa, jumla ya vifaranga vilivyokufa inafikia 33 hadi 40. naona tatizo lipo kwa huyu supplier wa mda mrefu...
Habari wakuu.
Kwa mahitaji ya software ambayo:
1.Ni rahisi kutumia
2.Ina Report za aina zote za IFRS
3.Haihitaji server(CLOUD)
4.Unaweza tumia aidha kwenye computer, simu, tablet au kote kwa...
Habari wakuu.
Kwa mahitaji ya software ambayo:
1.Ni rahisi kutumia
2.Ina Report za aina zote za IFRS
3.Haihitaji server(CLOUD)
4.Unaweza tumia aidha kwenye computer, simu, tablet au kote kwa...
Howo dump truck (6*4) standard cab.
type: inline, six cylinder, turbocharging and intercooling. WD615 engine with two valve, rear turbocharge.
Transmission: HW series 10 gear, main and auxiliary...
Nina viwanja Kisemvule 15 Km kutoka Mbagala rangi tatu. Nauza ukubwa 100 kwa 50 futi bei 6.5ml, umeme upo maji yapo. Eneo ni tambarare na mchanga haununui.
Kuna kingine vikindu kina matofali...
Gari sawa na mpyaaa imeendeshwa na mwanamama.. sababu ya kuuza ni ili kununua toleo la karibuni zaidi
Land Rover Discovery 4
Year 2013
Fuel diesel
Automatic
28000km
Imelipiwa kila kitu...
Wakuu nimepata Kazi Masaki mwisho, sometime ntakuwa natoka very late. Kwa sasa, nipo Mbagala.
Mwez wa kumi natarajia kuhama huku. Nikipata cha 30-50 sio mbaya. Ila ni lazima kiwe na umeme na...
Wakuu, nimeamua kuwa mjasiriamali wa kufuga kuku wa kisasa. sasa wameanza kutaga, soko linasumbua kidogo, mwezi uliopita mayai trey ilikuwa sh. 8000 hadi 8500 bei ya jumla sasa hivi ni sh. 6000...
Kama kuna MTU mwenyekiti gari yenye no at list C au D pia aina ya gari Noah ,IST,Carina TI au vits na Stalet Toleo jipya engine iwe nzuri cont. 0766008007
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.