Nimewahi kukisoma kitabu tajwa hapo juu na baadae kikapotea. Nimekikumbuka sana kitabu hicho na nimekitafuta sana kwenye maduka ya vitabu sijakipata. Naomba yeyote anayejua kinakopatikana...
Habarini wadau,
Nipo dar, nauza mayai ya kuku aina ya kroiler na vifaranga vya kuku aina ya kroiler. Pia tunatoa ushauri wa namna gani ya kufuga kuku kwa njia za asili. Kwa myenye mahitaji...
Mimi ni designer nauwezo mzuri katika kudesign napenda tambua kuhusu utengenezaji wa viatu vya ngozi mahitaji yanayo hitajika nakazalika plz naombeni msaada wenu wanajamvi
Nauza toyota hilux bei 7.5 haidaiwi chochote na kama inadaiwa italipwa kwa bei ya Manunuzi ipo mwanza inatumia Diesel manual gear ni nzuri kwa long trip na matumizi yake ya mafuta ni mazuri...
Nauza hizi accessories wakuu, zote ni original.
Samsung USB flash drive 3.0 duo 64gb
Inasupport usb 3.0, vilevile ni backward compatible na 2.0
Ina 64gb storage capacity
Inasupport dual...
Nahitaji nyumba ya kuchangia,nyumba yoyote itakayonipendeza niko tayari kuishi,nimeoa na nina watoto wawili.Kwa yeyote aliye na nyumba na anahitaji sharing tuwasiliane mimi niko SOWETO-MBEYA...
Ndugu wanajamvi,
Nimepata nyumba nzima vyumba vitatu na sebule na kila chumba ni self, nahitaji mimi vyumba viwili tu nae achukue kimoja na sebule.
Mimi nitalipa laki mbili yeye alipe laki moja...
Kwa wale wenye iphone na wangependa kubadil housing zilichakaa au kuchubuka na kuzfanya simu zionekane mpya tena... unaweza ukabadil had rang pia .... place your order now!
The Bureau for Industrial Cooperation (BICO) UDSM is organizing a 4 days course called “Result-Based Monitoring and Evaluation” This course will provide participants with M&E tools, techniques and...
Natafuta chumba(masterbedroom) au single/na sebule ila kiwe kizuri maeneo ya kinondoni.Iwe karibu na kituo cha mwendokasi.Bajeti yangu mwisho ni 80000 miezi sita...
Square Feet/Meters: 164,042 ft2/50,000 m2/12 acres
Zaidi ya viwanja 50 vinauzwa Kigamboni Mwasonga,Karibu na Mradi wa Real Madrid soccer Academy na Nssf.
Umeme na maji vipo.
Bei ni tsh 10,000 kwa...
Habari wanajamvi nahitaji mkopo niendeleze biashara yangu ya viatu vya kimasai.
maana inafika wakati wateja wanakuwa wengi ila kutokana ninamtaji mdogo nashindwa kuwapa mzigo kwa wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.