ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,113
Wakuu naomba mwenye kujua soko la ndizi na mihogo kwa dar es salaam.
Au kama kuna mfanyabiashara yeyote ambaye yuko dar anitafute tufanye biashara ya kueleweka.
Au kama kuna mfanyabiashara yeyote ambaye yuko dar anitafute tufanye biashara ya kueleweka.