Bei za nyumba za watumishi housing ni bora

Bei za nyumba za watumishi housing ni bora

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,953
Reaction score
7,002
KWA WKELI BEI ZAO NI NZURI..WAFANYAKAZI WACHANGAMUKIE. HIYO YA VYUMBA VITATU COMPLETE KAMA UNAIJENGA WEWE KWA KUDUNDULIZA INACHUKUA MIAKA MITATU..HUKU UNAISHI MAISHA YA SHIDA..HATA NHC na NSSF wangejenga kama hawa nakutukopesha wanachama kwa riba ndogo isiyoyakibenki

price_mkundi_1-300x85.jpg
 
Mwe! Wenzetu MNA raha!! Yaan m 46 mnaitaja kilaini hivyo! Dash! Ahsante kwa taarifa dalali mkuu
 
Hii nchi ni ya viongozi,na watumishi wa serikali tu,hawa ndio cream sisi walalahoi ni third class citizens,lakini ngoja uchaguzi ukaribie utawaona wakijichekesha chekesha na kutuahidi upuuzi baada ya upuuzi,turudi kwenye mada nyumba kama hizi wapewe walala hoi kwanza hao watumishi tayari wameshaiba wananyumba nyingi mitaani.
 
Na kukopeshaka banki nyakato hizi ni mziki mnene.

Kwa mtumishi wa umma ukimpatia kiasi hicho hakika ananunua kiwanja na kujenga na kasalio huenda kakabakia!
 
Ziko Mkoa gani hizo Nyumba? Form za kulipia naweza kupata wapi kwa hapa Dar? Tafadhali naomba nijibu
 
Hivi 43 mil wengine mnazihesabu kwa kutumia nini??? Noti ya laki moja moja 430,au elfu kumi kumi 4300 kama mimi????

Maana dah,
 
Ziko Mkoa gani hizo Nyumba? Form za kulipia naweza kupata wapi kwa hapa Dar? Tafadhali naomba nijibu

Ofisi zipo Ghorofa ya 4,
Golden Jubilee towers,
Ohio Avenue

Wana project za nyumba kwenye mikoa takriban 10 plus (not very sure with the number exactly..)
But kwa Dar es Salaam bei ziko juu kidogo lakini si za kutisha.. mikoani kuna unafuu zaidi
 
Shukran Jazeelan wakatheerah! Wabheja sana Binamu!
 
Back
Top Bottom