Nyumba zinapangishwa maeneo ya mlimani city

Nyumba zinapangishwa maeneo ya mlimani city

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Nyumba mbili zinapangishwa maeneo ya savei dakika 5 tokea mliman city.
Nyumba moja ni kubwa ina vyumba viwili vya kulala sebule jiko na choo chake. Ina tiles bei yake ni tsh 300,000 kwa mwezi nyumba nyingine ni chumba na sebule choo na jiko lake bei yake ni 180,000 nyumba zote zipo sehemu moja na hakuna uzio ila usalama wa kutosha gari hadi kwako. Hakuna dalali unalipa kodi tu. 0713401812
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom