Nnauza Nguruwe wadogo Kwa wingi kuanzia watano au zaidi. Hasa kwa wale wanao taka kufuga Wapo kati ya miezi 4,5 na 6. Bei tunaelewana. Napatikana Hombolo Dodoma. Tuwasiliane 0789656265
Nauza simu ya TECHNO-J5 tshs. 125,000/ iko ktk hali nzuri, charge zaidi ya 24hrs, internal memo 16gb, ram 1gb, android version 5.1. Bonus nakupa earphone na charger...cal watapp or text kwa Namba...
Naomba anaye kudesign na kuprint calendar zile kubwa za ukutani, zenye karatasi 6 pamoja na picha kwa kila karatasi anipe bei ya jumla kwa calendar min 200,
Brand new Samsung Galaxy S5 LTE, waterproof, Gold color 16GB For Sale, comes with all accessories.
#0654776976# pia kuna s6 edge 64GB, iphone 6s gold 64GB, na smartphones nyingne za kisasa za...
Nyumba inauzwa 60m iko mbagala chamazi, ina vyumba vitatu kimoja master, dining, Jiko,store, choo, sebule, eneo la parking full fenced pia Ina Hati miliki etc.
Mashart mazuri kila rangi unaweza kuchagua rangi utakayo na kwa kutoa oda piga smu au whatsap no 0656436662 tuko dar es salaam karibun sana kila shart ni 25000 tu...
Habari zenu wakuu humu ndani,
Kutokana na ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira nimeamua kuuza simu yangu iPhone 5s nimetumia mwezi 1 tu. Bei ni shs.650,000/=.
Jipatie kiwanja kuanzia million 3.5 maeneo ya mbagala vikindu... wasiliana nami nikupeleke uka chague mwenyewe na ujioneee mwenyewe
Shukran
Namba 0713 632 207
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.