Brands kati ya LG, Samsung au Star-X, mpya au used. Offer yangu ni sh. 600,000/= Hakikisha sio copy ya brand nilizo zitaja. Njoo PM naamini tutafikia makubaliano.
Vizuri ikiwa na HDMI port 2 na...
Habari natoa fursa kwa vijana wote tunauza mayai 5500 ofice zetu ziko tabata atakaeuza tray 50 kwa siku atalipwa efu 10 kwa siku atakaeuza tray. 100 atalipwa efu 20 .kwa maelezo zaidi tupigie...
nauza laptop yangu ya dell d620 (roho ya paka)iliyo katika hali nzuri na safi.
Specification
80gb HDD(utaongeza mwenyewe)
3gb ram
Duo core@1.66ghz
Battery ipo poa sana
Problems
Mstari mwembaba...
NIMEONA TANGAZO KWENYE GROUP LA WHATSAPP JUU YA UZINDUZI WA BIDHAA ZA KILIMO
MAHALI/;- chuo kikuu dar es salaam mkabala na UDASA Club.
SIKU:- JUMAMOSI,DESEMBA 10,2016.
Ila nimeshindwa kujua...
KITABU cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi kinapatikana maeneo yafuatayo kwa Dar kwa mauzo ya jumla na rejareja.
1. Duka la House of Wisdom lilipo Posta Mtaa wa Samora Jengo la NHC ghorofa ya...
Jengo la ghorofa mbili linapangishwa. Jengo ni kubwa na la kisasa, lipo Tegeta Nyuki hatua chache kutoka kwenye kituo cha Daladala Tegeta Nyuki.
Jengo hili lina huduma ya maji safi ya dawasco, pia...
Eneo lenye square metre 900 linauzwa kigamboni mwembe mdogo.
Eneo halijapimwa ila lina docunents za serikali ya mtaa.
Bei 18 mils.mhusika namba yake ni 0688151545
Kwa anayehitaji ampgie huyo...
HABARI WAKUU.
Ulimwengu wa biashara hauhitaji wataalamu wa kuinstall na kuitumia system.Bali wanahitaji wataalamu wanaoweza kukaa chini na wateja na kuwasikiliza mahitaji yao, kuchambua namna...
Nauza nyumba ipo mbagara.
Nyumba ina sifa zifuatazo.
-ina umeme
-ina maji ( maji yanapanikana nyumbani kabisa ya bomba)
-kwa ndani ina gypsum
-Nyumba ina tiles(malumalu) kwe chini.
-NYUMBA INA...
Nina million 1 naomba mwenye pikipiki aina ya boxar ambayo ipo kwenye hali nzur aniuzie,kama unayo nicheki 0753 90 31 90,
A-iwe kwenye hali poa maana kabla ya ununuzi ukaguzi muhimu.
B- iwe ni...
Nauza nyumba ipo mbagara sabasaba mwanamtoti karibu na shule ya sekondari ya st antony.
Nyumba ina sifa zifuatazo.
-ina umeme
-ina maji ( maji yanapanikana nyumbani kabisa ya bomba)
-kwa ndani...
Kama wewe unauza vitu USED hivi hapa tuwasiliane !!!Kwa bei nzuri
Flat screen
Kitanda cha kulalia
TV stand
Godoro confy
Meza ndogo ya kioo
Sofa ndogo
Mahali popote kama unaflat lakini n...
Habari waungwana..
Kama heading inavyojieleza.
Ninahitaji mtu wa kuweza kunipatia mayai ya kuku kuanzia tray 30 ambazo ni mahitaji ya siku moja na kuendelea. Nipo tiyari kuchukua kiasi...
Kwa yeyote anaehitaji smartphone.. Kuna samsung galaxy note 3 inauzwa, iko katika hali nzuri sana, Bei ni 300,000.......Bei inaweza ikapungua.... Kwa yeyote anaehitaji, whatsapp 0714132075..
Nyumba iko maeneo ya kona ya mbauda jijini Arusha, stend ya mirongo, ziko mbili, moja self, na nyingine ya vyumba vitatu kwenye uwanja mmoja, mita 50 kutoka barabara ya Oljoro, maji na umeme...
Habar wapendwa nauza car wash machine inayotumia umeme. Mashine ni mpya sana dhumun la kuuza ni kwamba imekosa msimamiz hivyo nimeamua kuuza bei inaanza laki 4..!! Nichek kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.