Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari gani wakuu? Wale wote wanaojishughulisha na biashara zilizotajwa hapo juu naomba tuwasiliane. Mimi ni mjasiriamali nilie na base kubwa ya wateja wa biashara hizo na ningependa kuingia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa wapi naweza kupata "Coin slot mashine" kwa ajili kununua?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Ni Kuku wakubwa ambao wanataga, kusudi ni kusafisha banda ili kuingiza mbegu mpya ya kuroiler. Napatikana Arusha Contact 0752030936 au 0744787289
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MSAADA HUU HAPA... Je unahitaji kununua gari toka Japan au nje ya nchi? Tatizo mda na kutojua nin ufanye ili kupata wauzaji sahihi? Usiwaze tena juu ya hilo. Mimi ninatoa msaada wakuagiza...
0 Reactions
0 Replies
545 Views
Dell inspirion inauzwa kwa bei rahisi mnooo ya Laki mbili na nusu(250000) ina Hard Disk ya 320GB,2GB Ram, Duo core Processor..piga simu 0676040772 ujipatie sasa...wahi kabla hujawaiwa.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari gani wakuu? Kama kichwa kinavyojieleza,naomba alie na laptop mini isiyo na DVD drive au yoyote inayofanya kazi, ani PM. Offer yangu ni sh. Laki moja. Asanteni na siku njema.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Shamba la heka 3 linauzwa eneo la kibaha misugusugu, umbali toka barabara kuu ya morogoro ni km 1 na nusu, kuna maji na umeme jirani na shamba, Bei ni mil 15 Namba ya muhusika 0714595 617
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Natafuta phone namba za mafundi wa CCTV Security camera,Electric Fence na Smoke detector kwa ajili yaku tengeneza group.Pls comment your name and number if you are a CCTV technician and want to join
0 Reactions
0 Replies
526 Views
Karibun niko arusha. 450000.0755661541
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina uzoefu wa miaka sita kwenye hiyo industry. Nimefanya kazi kwenye makampuni mbalimbali ndani na nje ya nchi. Nimebobea katika utengenezaji wa websites za kawaida na za simu. Pia natengeneza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasiliana nasi 0754 567120 kwa mahitaji yako ya mbolea poa ya kinyesi cha kuku jijini Dar es salaam.
0 Reactions
0 Replies
571 Views
Wasiliana nasi 0754 567120 kwa mahitaji yako ya mbolea poa ya kinyesi cha kuku jijini Dar es salaam.
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Are you a form six leaver and you are trying to cope with the life after school? We offer FREE ADVICE and GUIDANCE to help explore your options and see what you can do to earn an honest living...
0 Reactions
2 Replies
963 Views
Kiwanja kinauzwa eneo la Kimele, Bagamoyo karibu na shule ya BaoBab Sekondary School. Kipo Umbali wa Km 2 kutoka barabara ya Dar - Bagamoyo. Kina ukubwa wa 30*15 Bei Mil 5.5. Kiwanja hakijapimwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kichwa cha habari chajieleza. Mwenye nayo tuwasiliane. Awe na bei ya kuuza
0 Reactions
3 Replies
707 Views
Wadau naomba kujua hivi vifaa vya kupimia udongo nitapata wapi? Nipo Songea 0756041410
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani anahitaji kuandikiwa project proposal, business plan, kufanyiwa monitoring and evaluation tuwasiliane kupitia 0684310382 , nipo dar es salaam-ukonga
2 Reactions
3 Replies
806 Views
Njoo ujikamatie passo... Haidaiwi Imetembea km 100,000 Piston 4 Gari ni nzima kila idara mpaka ac. Bei ni 6.2 mln Kwa mawasiliano piga # 0715591141.... DSM
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wasalam.... Pc yangu haina port ya VGA wala HDMI bali ina D- Port (Display Port). Sasa ninataka kuunga tv yangu na tv flat sreen ili niweze kupata live streeming. Ninatafuta hii cable ya D- Port...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Natafuta flat screen isipungue inchi 32, anaeuza tafadhali. Npo dar
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom