Msaada: Nahitaji mayai ya kuku

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,819
26,180
Habari waungwana..

Kama heading inavyojieleza.
Ninahitaji mtu wa kuweza kunipatia mayai ya kuku kuanzia tray 30 ambazo ni mahitaji ya siku moja na kuendelea. Nipo tiyari kuchukua kiasi kikubwa chochote kitakachopatikana kadri ya maelewano yetu.

Only serious suppliers tuwasiliane!!
 
Bado utakua unahitaji mayai ndugu?
 
Habari waungwana..

Kama heading inavyojieleza.
Ninahitaji mtu wa kuweza kunipatia mayai ya kuku kuanzia tray 30 ambazo ni mahitaji ya siku moja na kuendelea. Nipo tiyari kuchukua kiasi kikubwa chochote kitakachopatikana kadri ya maelewano yetu.

Only serious suppliers tuwasiliane!!
Weka Bei
 
Duhh,aisee
Hii inaonyesha kwamba watu ni walalmikaji saana na sio wabunifu
Jamaa anataka Mayai Idadi kubwa yaani hakuna supplier wa uhakika kila mmoja anajiuma uma.
Na hii inaonyesha hata wafugaji nao sio makini pia kwenye suala la Masoko.
Fursa hiyoo,wakiwekeza wachina tunapiga zogoo eeee
 
Tatizo ni bei ndo watu wanapishana tatizo sio idadi ya trays!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom