CCTV security 4 Camera Package
2 indoor,2 outdoor,4 channel DVR,adapters for camera,coaxial cable with Pins and 1 TB hard drive @ Tsh 850,000 only
Piga 0688726110
Wana JF....Habarini
Mimi nataka kuwa mkulima mzuri wa mhogo na nataka kuuza unga wa mhogo ulio mweupe kama unga wa ngano (Kivunde).....Nipeni sasa soko lake ikiwezekana na bei ya kila mahali ili...
Nauza gari Mercedes Benz
Zile benz ndogo kama Vitz
Bei Tsh 4'500'000/= tu
Haina udalali
Rangi ya Blue
ipo ktk hali nzuri
Ikiwa unahitaji tuwasiliane kwenye PM
Kwa majadiliano kwenye public...
Natafuta Apartment yenye vyumba viwili vizuri maeneo ya center town Daressalaam,kama vile kariakoo au maeneo ya karibu sana kufika kariakoo au posta kodi isizidi laki 4 kwa mwezi!,napendelea...
Miliage 89000
CC 1290
Bei 9 milion .... maongezi kidogo sana yapo .....
Kama utapendezewa na chombo hiki tuwasiliane kupitia # 0715591141 DSM
Changamka
Eneo linauzwa mbezi beach barabara ya white sand jirani na shule ya English medium ya Elite eneo lina fance na nyumba ya nyumba vitatu Umeme na maji tayari limepimwa na lina hati ukubwa 4500sq m...
Ni kazi isiyiyotumia nguvu, mda mwingi wala gharama, na ni kazi pia hapo hapo unaweza kuifanya kama sehemu ya huduma zako muhimu.
usijali. bofya link hapo chini na pia kuna mawasiliano utayapata...
Chumba kimoja self-contain kinapangishwa. Kiko Bunju A, karibu na shule. kinafaa Bachelor, Spinster or young couple wasio na familia. Rent in Tzs 120,000 per month water and electricity inclusive...
Ninauza bajaj TVS King ambayo imeshatumika kwa miaka miwili hivi. bei ni shilingi za kitanzania 2,500,000/= ila inaweza kupungua kidogo kulingana na tutakavyokubaliana na mnunuzi. kwa sasa ipo...
Wakuu habari za majukumu ! kiwanja kinauzwa kipo eneo la meko kunduchi Dar es salaam ni kama mita 400 Kufika barabara kuu ya mwenge -bagamoyo ukubwa ni :- upana mita 20 urefu mita 36 bei ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.