Heci
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 3,757
- 6,591
Jengo la ghorofa mbili linapangishwa. Jengo ni kubwa na la kisasa, lipo Tegeta Nyuki hatua chache kutoka kwenye kituo cha Daladala Tegeta Nyuki.
Jengo hili lina huduma ya maji safi ya dawasco, pia kuna matanki ya akiba ya lita zaidi ya 45,000/-
JIKO LINA NAFASI YA GESI, SEHEMU YA UMEME NA KUNA SEHEMU YA MKAA.
MUONEKANO WA MBELE
FILTER ZA KUCHUJIA NA KUTAKASISHA MAJI (PURIFYING FILTERS)
CANTEEN
Kwa mawasiliano zaidi piga 0717454455