NYUMBA YA VYUMBA 3 VITATU VYA KULALA, SITTING ROOM, DINING, KITCHEN AND STORE INAPANGISHWA. NYUMBA INA FENCE YA UKUTA NA GETI. KWA MAWASILIANO 0768 079190 0652-209552.
Kama kichwa cha habari kinavo elekeza wana jamii naomba msaada wa kupata connection ya Mayai kwa bei ya kupoza poza kidogo nihitaji trei 1000 kila wiki msaada wadau nipo dar 0715 856687
Nikon D3200 24.2 MP CMOS Digital SLR with 18-55mm f/3.5-5.6 Auto Focus-S DX VR NIKKOR Zoom Lens (Black)...Price 400 USD...
haina begi lake original na kifuniko cha lens hapo mbele..vingine vyote...
Nyanya wa mke wa rais amekufa na ameisha zikwa mwanza.akiwa na umri wamiaka 82 na wajukuu zaidi ya 20. Mazishi tayari mke wa rais yupo uko.
Mh raisi alikuwa tait sanaaaa ameshindwa kufika, ila...
Habari wadau, nauza mabanzi mazuri Na bei ni maelewano, Niko mafinga iringa,
Pia nauza Mbao fupi za urefu wa kuanzia futi 8 hadi futi 10. Bei maelewano. Zao la paini Miti ya serikari. Kwa...
Kiwanja /shamba linauzwa Lina ukubwa wa eka 1 na nusu lipo Kibaha Mathias upande kilometa Moja na nusu toka Barabara ya morogoro kwenye kitongoji kiitwacho Jamaica being ni maelewano na ina HATI...
wakuu habari za kazi...
nauza Microsoft Nokia Lumia mpya kabisa haijatumika iko ndani ya box lake....
ni product ya kutoka US na nauza kwa shiling laki tatu tu
kwa yoyote ambae ataitaji anipm
Nahitaji maelezo ya kupata Media licence. Nahitaji ili niweze kugonga milango kwa urahisi zaidi na kupata interviews na kufanya public coverages bila kubughudhiwa. Zaidi eneo langu lipo kwenye...
Nauza account ya Google Adsense kwa bei nafuu,ni non hosted account,current balance ni USD 20 na huku kwingine ina zaidi ya USD 10. Address bado haijawa verified lakin barua ya Google itafika kati...
....Nauza fridge aina ya LG limetumika miezi nne tu.. Bei ni shillingi laki tano (500,000)... Nimeambatanisha picture zake kwa chini.. Kwa mawasiliano zaidi unaweza kunicheck kwa number 0713...
HABARI WAKUU.
Ulimwengu wa biashara hauhitaji wataalamu wa kuinstall na kuitumia system.Bali wanahitaji wataalamu wanaoweza kukaa chini na wateja na kuwasikiliza mahitaji yao, kuchambua namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.