makilo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 2,676
- 5,380
Nina million 1 naomba mwenye pikipiki aina ya boxar ambayo ipo kwenye hali nzur aniuzie,kama unayo nicheki 0753 90 31 90,
A-iwe kwenye hali poa maana kabla ya ununuzi ukaguzi muhimu.
B- iwe ni yakwako iwe na jina lako iwe na kadi.
C-isiwe boda boda mzoefu,niuzie kwa kusaidiana tu.
Asante nipo dar yombo.
A-iwe kwenye hali poa maana kabla ya ununuzi ukaguzi muhimu.
B- iwe ni yakwako iwe na jina lako iwe na kadi.
C-isiwe boda boda mzoefu,niuzie kwa kusaidiana tu.
Asante nipo dar yombo.