Wale wa matikiti kwa ajili ya juice,smoothies na salad

networker

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
570
215
Matikiti bei bora kabisa yame wasili sokoni hapa Tandale
Ndonga fresh za kumwaga 3000-5000 (sikuuzii 6000 staki zambi)
size ya kati 2000-2500
ndogo kiasi -1000-1500

Tukutane soko la matunda tandale mzigo umeingia tani 4 kazi kwako weka order yako hapa- -0719647966 kwa Dar ukichukuwa matunda 100 na kuendelea ya bei kuanzia 2000 tsh tunakuletea popote kwa gharama ya 20,000

0719647966
 
Back
Top Bottom