Godoro la Dodoma

Depretty

JF-Expert Member
Jun 14, 2013
248
98
habari..naitaji godoro la dodoma foam inch 8-10...kwa bei ya inch 8(120,000-130,000)inch 10-150,000...
wapi naweza nikapata kwa bei hiyo???
Napatikana tabata kinyerez.z
shukran
 
Hilo kwa vyo vyote litakuwa ni "rejet" ndio maana likapelekwa Keko kuuzwa kwa mafundi wa sofa. Pole!
 
Hilo kwa vyo vyote litakuwa ni "rejet" ndio maana likapelekwa Keko kuuzwa kwa mafundi wa sofa. Pole!
wajinga ndo waliwao, ulimbukeni wa kudhani vitu vya bei kubwa ndo orijino unakusumbua ndo mana mnapigwa kekundu kila siku, nenda ile depo kaiangalie jinsi ilivyo kubwa ka kiwanda na bei za magodoro zimebandikwa na risiti ya tra unapewa na yana alama zote za ubora, ina maana tbs hapo hawapajui hadi waache bidhaa feki nyingi kiasi hicho ziuzwe hadharani?, na hapo ndo yanaposafirishwa kwenda mikoani, endelea kwenda kununua orcadeco wenzio tunathamini kila thumni tunayotoa mifukoni mwetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom