Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Chanika Mjini(Videte) 50Ft X 50Ft, Bei: 4.5M. Umeme na Maji hapo hapo. 0.6Kms kutoka Barabara ya Lami. 1.7Kms toka Chanika Stand. Pamepimwa kienyeji vizuri kwa Makazi Bora. Kiwanja #29 &...
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Je Wewe Ni Mfanyabiasha? Mjasiliamali? Mtaalamu/fundi? Unauza Kitu/bidhaa Fulani? Tangaza Katika Blog Yetu Yenye Viewers Zaidi Ya 3000 kwa siku katika kipindi hiki cha mwishoni mwa mwaka kwa tsh...
0 Reactions
6 Replies
840 Views
Je una uhitaji wa ANDIKO gani? karibu tujadili, tunaandaa ANDIKO lolote katika nyanja za uchumi, biashara, jamii, elimu ya juu n.k ANDIKO ni kama mwongozo na Nyenzo mhimu katika kufanikisha...
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Ipo kwenye hali Nzuri.. location-Kibamba Picha imegoma ku upload hapa JF,Kwa njia ya whatsap unaweza tumiwa. Sh,500000 tu. 0674312408 galaxy tab E model number-Sm_T561 Android version...
1 Reactions
1 Replies
672 Views
Mimi ndo naanza ufugaji wa kuku sijajua mashine zinapatikana wapi mimi Nipo vikindu aliopo maeneo ya mbagala anijuze
0 Reactions
5 Replies
941 Views
Wadau nauza pilipili mbuzi na kichaa Piga 0625 568600
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, Nahitaji mbolea ya kuku, preferably ile ambayo imeoza (imekaa muda mrefu baada ya banda kusafishwa). Nipo Dar. Kama mbolea ipo maeneo ya kama unatoka nje ya Dar kama vile Mbagala...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Chumba,sebule na choo cha nje utakacho tumia peke yako ushei na wapangaji wengine pia una sehemu yako pekee ya kuanika nguo. Eneo Manzese Midizini TipTop,kodi kwa mwezi 130,000. Mawasiliano +255...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji viti na vifaa vingine vya salon ya kiume.
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Nahitaji Moderm yenye kutumia laini yeyote... Naomba kufahamu bei zake Ahsante
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF... Ninauza korosho kilo moja kwa sh 3000 nina kilo 200. Nipo Dar es salaam, korosho zipo wilaya ya mkuranga na free delivery kwa dar es salaam. Kwa mteja aliye serious ani DM
1 Reactions
2 Replies
777 Views
PUREWELL(water filter) ni kifaa kizuri sana kwa ajili ya kusafishia maji na kufanya yawe safi na salama. Hautakuwa na haja ya kuchemsha tena maji. Kifaa hiki pia kinatibu SI kusafisha tu minyoo ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau mimi ni mtaalamu wa kudesign websites na mitandao mwingine kulingana na mahitaji yako. Kwa yeyote anayehitaji tuwasiliane 0687535650, Bei ni kuanzia 250000 unapata website yako safi kabisa.
0 Reactions
0 Replies
531 Views
nawasalimu wa wakuu!!!! kwa anae uza dry za mkono na za kawaida zile za saloon ya kike.. naomba mnitajie bei zenu ikiwezekana na pc kabisaa nashida nazo. ikumbukwe pesa yangu ni fupi na kifaa...
0 Reactions
5 Replies
707 Views
Wakuu, nahitaji Tv Nch 42 LED yenye accessories zote HDMI code, Remote yaan iwe katika hali nzuri. Niko Singida. Tuwasiliane 0652902994
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mtu yeyote anayemiliki ghorofa la kuanzia floor mbili kwa matumizi ya ofisi ndani ya 'jiji' la Bukoba tutafutane. Jengo hilo liwe ni jipya na la kisasa kabisa... Liwe na hati, Liwe halina...
0 Reactions
3 Replies
848 Views
Vigezo 1.Ukubwa kuanzia sqm 300-400 2.Eneo la viwanda mikocheni Taja kodi ya mwezi sahihi Call 0689315582
2 Reactions
0 Replies
904 Views
wakuu naombeni ushauri computer zipi ninunue kwaajiri ya kufundishia watoto?
0 Reactions
0 Replies
780 Views
kuna dogo kaniletea hela za kichina hapa kama 3, zpo hivi, YUAN 5, 1,1 zina thaman gani kwa Tanzania! Mwenye kujua anijuze!
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom