jamani limepita juma moja tu, tangu nilipo semea smell mbya ya itakanayo na mgegedano, kwa wkaz wa sinza na wapita njia, nilisema wazi kuwa yawzekana sinz get zake nyingi hazina maji, sasa hii...
Habari zenu wadau wa jukwaa hili.
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nina haja na bluetooth speaker nzuri yenye mziki mnene ambao upo clear masikioni, inayoshabihiana na device mbali mbali kama...
Habari wakuu. Na wote wenye ndoto za kumiliki Iphones.
Iphones used zilizo katika hali bora zinapatikana. Unachotakiwa ni jambo jepesi tu. Weka iphone unayohitaji nitakupatia bei zake na...
Inapatikana tegeta karibu na barabara ya kwenda twiga . . Ina hati.. vyumba vitatu, kimoja master,, sebule kubwa, dining, jiko, public toilet, na uwanja mkubwa nje kama inavyoonekana..
Ipo...
Habari wana jf samahani nlikua nataka kuanza biashara ya nguo za kike za mitumba naomba msaada au hata ushauri ni sehemu gani kwa hapa dar nnapoweza pata mitumba mizur ya kike grade 1
Martin ds king ana toa ofa ya nguo za kacha kwale wateja wakwanza ambao wata wai watatengenezewa nguo grade A nikimahaanisha nguo yenye kwarti ya yuu kabisa na wale watao fata watono wata pata...
Kwa wale wanao penda kwenda na wakati katika maisha yao una weza kuungana na martin ds king kwa fashion kali za kacha pia na Disgn nguo za sendoff zakike na zakiume wakubwa kwa wadogo pia una weza...
Kutoka Haya ndio maujanja ya kutumia camera mbili kwenye Tecno Phantom 6 | Bongo5.com
Habari ndio hii…kama ulikuwa hujasikia, Phantom 6 inakuja na kamera mbili za ukweli na wengi bado...
Habari zenu wanajf
Natafuta kiwanja maeneo ya boko,
Bunju, madale na mbweni.Nataka kilichopimwa tayari na kama kina hati ititakuwa vizuri zaidi.
Mwenye nacho andika na bei kabisa na ukubwa gani.
Tunatengeneza websites (tovuti) BURE Pia domain registration BURE kwa kila mteja wa web hosting kuptia kampuni yetu.
Bei ya ku Host website kwa mwezi ni Tsh 9,000/=
Present your business online...
Wadau, kwa anayefahamu tafadhali nijulishe wapi naweza nunua mashine za kuosha vyombo vya kulia chakula (dish washers) nimepita maeneo kadhaa sijazipa. Kwa anayejua anieleze ukubwa wa mashine na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.