Msaada natafuta Bluetooth Speaker.

Msaada natafuta Bluetooth Speaker.

MarianaTrench

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
1,212
Reaction score
942
Habari zenu wadau wa jukwaa hili.

Rejea kichwa cha habari hapo juu, nina haja na bluetooth speaker nzuri yenye mziki mnene ambao upo clear masikioni, inayoshabihiana na device mbali mbali kama simu na laptop (namaanisha sitaki zile ambazo ni specific kwa simu au laptop). Kama unajua jina tafadhali niambie na mahali pa kuzipata, kama unauza mwenyewe nifate inbox na picha za hizo speaker tuongee.

Ahsanteni
 
Angalia ebay wanauza kuanzia dola 4 kulingana na mfuko wako tu
 
Back
Top Bottom